Madini ya Josera

MADINI BORA YA NG´OMBE WA MAZIWA TOKA UJERUMANI
Sifa za Frumi Plus
  • Ni mchanganyiko wa madini yote muhimu kwa ajili ya ng´ombe wa maziwa
  • Yametengenezwa kwa viwango vya juu vya Ujerumani
  • Yana vitamins nyingi (A, B, D, E)
  • Yana uwiano mzuri na wa kutosha wa Sodium bicarbonate
  • Yana kiwango cha juu cha Vitamins B zinazo saidia myeyusho mzuri wa chakula mwilini
  • Yanakubalika vizuri na ng´ombe
25kg
Faida za kutumia Frumi Plus 
  • Yanakidhi mahitaji yote muhimu ya madini ya ng´ombe wa maziwa yanayokosekana kwenye malisho ya msingi kama vile nyasi, pumba, n.k. 
  • Huboresha uyeyushaji wa chakula mwilini sababu ya vitamini nyingi zilizomo 
  • Humfanya ng´ombe kuwa na afya nzuri 
  • Hurahisisha ng’ombe kuingia kwenye joto 
  • Huboresha utoaji na ubora wa maziwa 
  • Yana madini aina ya selenium yasiyo athirika kwenye tumbo la ng´ombe 
Ulishaji:
  • Ng´ombe anayekamuliwa: Gram 100 (vijiko 10) kwa siku 
  • Ndama: Gram 50 (vijiko 5) kwa siku 
Utunzaji: Tunza madini mahali safi, pakavu na pasiwe na joto
__________________________________________________________



Sifa za Rimi Spezial
  • Ni mchanganyiko wa madini yote muhimu kwa ajili ya ng´ombe wa maziwa 
  • Yametengenezwa kwa viwango vya juu vya ng’ombe wa maziwa Ujerumani 
  • Yana kiwango cha juu cha Vitami A na D3 
  • Yanakubalika vizuri na ng´ombe 
25kg
Faida za kutumia Rimi Spezial 
  • Yanakidhi mahitaji yote muhimu ya madini kwa ng´ombe wa maziwa yanayokosekana kwenye malisho ya msingi kama vile nyasi, pumba, n.k. 
  • Humfanya ng´ombe kuwa na afya nzuri 
  • Huharakisha ukuajiwa ndama 
  • Huongeza uzalishaji wa maziwa 
  • Husaidia kuyeyusha haraka chakula anachokula ng´ombe 
Ulishaji:
  • Ng´ombe mkubwa: Gram 100 (vijiko 10) kwasiku 
  • Mtamba: Gram 60 (vijiko 6) kwasiku 
  • Ndama: Gram 40 (vijiko 4) kwasiku 
Utunzaji: Tunza madini mahali safi, pakavu na pasiwe na joto au unyevu

__________________________________________________________



JOSERA Vitamil CalfCare
Ni  mbadala wa maziwa ya ng'ombe. Inatoa uzani wa juu na ni inafaa vizuri hasa katika kesi ya shinikizo la kuhara kwa ndama.


  • Gharama chini ya Ufugaji
  • Kukubalika kwa ubora
  • Ufanisi dhidi ya ugonjwa wa kuhara kwa Ndama
Kwa mawasiliano na ushauri piga simu namba:- +255715616331