- Tumia chakula bora na siyo bora chakula, tumia chakula bora ambacho hakina madhara kwa kuku wako na hata walaji kwa ujumla.
- Weka chakula mahali safi na salama kuepuka wadudu waharibifu kama vile panya ili kuzuia maambukizi ya magonjwa kwa kuku.
- Tumia kanuni ya "least cost combination" yaan tumia chakula cha bei nafuu kinachotoa matokeo bora zaidi ili kupunguza gharama za ufugaji hali ambayo itakufanya upate faida mara dufu.
Kwa mawasiliano na ushauri piga simu namba:- +255715616331
Asnte kwa elimu Bora
ReplyDelete